Bunge limetoa maelekezo kwa Serikali kuhusu Mgogoro unaoendelea Ngorongoro.

BUNGE limetoa maelekezo  mawili kwa serikali kuhusu mgogoro unaoendelea kwenye Hifadhi ya Ngorongoro Mkoani Arusha ikiwemo kufanya utafiti wa kina ili kuangalia matumizi bora ya ardhi. Spika wa Bunge Dokta Tulia Ackson amesema hayo Jijini Dodoma katika kikao chake na wahariri na waandishi wa habari. Akizungumzia kuhusu wabunge 19 wa viti maalum waliopo bungeni kwa